Smart BMS

Mwanzo / Smart POS / Mgahawa

Smart POS · Mgahawa

Kutoka mezani, hadi jikoni, hadi bili.

Mhudumu anachukua oda, jikoni wanaiona kwenye skrini, na keshia anafunga bili. Kila mmoja anaona kazi yake tu.

Oda inavyosafiri

Mhudumuanachukua oda
Keshiaanathibitisha
Jikoniwanapika
Mhudumuanapeleka mezani
Biliinalipwa
Meza 412:412 × Pilau · 1 × Juisi
Inapikwa
Meza 712:381 × Chipsi mayai
Tayari kupelekwa

Skrini ya jikoni na uthibitisho wa keshia unaviwasha kwenye Settings, ukivihitaji.

Imejengwa kwa jiko lenye shughuli nyingi

Meza na odaFungua meza, ongeza vyakula, tuma jikoni.
Skrini ya jikoniWapishi wanaona kila oda na kuiweka tayari.
Menyu yenye picha na mapishiJua gharama ya viungo vya kila chakula.
Menyu kwa QR mezaniWateja wanaagiza kwa simu zao; wafanyakazi wanakubali kwanza.
Nunua kwa mkopo, lipa baadayeManunuzi kwa wasambazaji unayolipa ukiwa tayari.
Upotevu unarekodiwaChakula kilichoharibika kinaondolewa, hivyo faida yako ni ya kweli.

Hatua zako za kwanza baada ya kuingia

  1. 1Ongeza vyakula na bei zake kwenye menyu
  2. 2Weka meza zako
  3. 3Ongeza wafanyakazi: mhudumu, keshia, mpishi
  4. 4Pokea oda ya kwanza