Mwanzo / Smart POS / Duka la rejareja
Smart POS · Duka la rejareja
Simamia duka lako kwa njia ya kisasa.
Uza haraka, jua kilichopo stoo, fuatilia wanaokudai na uone faida yako — kwa simu au kompyuta.
UzaMfano
Sukari kg 13,500
Mchele kg 0.51,600
Sabuni ya kuogea ×22,400
Mafuta ya kupikia lita 16,000
JumlaTZS 13,500
Kila kitu duka linahitaji
Kuuza harakaRisiti ya kuchapisha au ya email kwa sekunde.
Stock unayoiaminiBidhaa, huduma na kupokea mzigo.
Uza kwa uzito au ujazoNusu kilo, robo lita — mashine ya mauzo inakubali.
Mauzo ya mkopoOna nani anakudai na rekodi anacholipa.
Matumizi na faidaRipoti za siku, wiki, mwezi, robo mwaka na mwaka.
Duka lako la mtandaoniShiriki kiungo; wateja wanaagiza, wewe unathibitisha.
Hatua zako za kwanza baada ya kuingia
- 1Ongeza bidhaa na bei zake
- 2Pokea stock ya mwanzo
- 3Fanya mauzo ya kwanza
- 4Angalia mauzo ya leo kwenye dashboard
Jisajili kwa hatua 4 fupi
- 1Mpango
- 2Duka lako (Duka limechaguliwa)
- 3Akaunti ya admin
- 4Duka lako la kwanza liko tayari