Smart BMS
MpyaSmart POS sasa ina hali ya Mgahawa

Endesha duka lako
kwa njia ya kisasa.

Smart POS kwa mauzo, stock na madeni ya maduka na migahawa. Smart BMS kampuni yako inapohitaji uhasibu kamili. Kwa simu au kompyuta, kwa Kiswahili au Kiingereza.

Anza majaribio ya bure
Siku 14 bureHakuna malipo leoAkaunti yako binafsi
Mauzo mapya
35,000 TZS
LeoMfano

Mauzo ya leo

TZS 1,365,000

▲ 12% ukilinganisha na jana

Faida ghafi

TZS 412,500

▲ 8%

Madeni yaliyolipwa

TZS 86,000

Wateja 3

Rahisi kwa mmiliki

Imetengenezwa kwa wamiliki wa biashara, si wahasibu tu — kwa Kiswahili au Kiingereza.

Kila jukumu, kazi yake

Wafanyakazi wanaona wanachohitaji tu. Mhudumu wa meza haoni pesa.

Taarifa zako ni zako

Kila kampuni ina database yake binafsi, na nakala inahifadhiwa kila siku.

Uko tayari kuanza?

Siku 14 bure — hakuna malipo leo.