Smart BMS

Maswali yanayoulizwa

Chagua mada.

Taarifa zangu ziko salama?

Kila kampuni ina akaunti na database yake binafsi. Hakuna kampuni nyingine inayoziona.

Wafanyakazi wanaona kila kitu?

Hapana. Kila jukumu linaona kazi yake tu.

Mna backup?

Ndiyo, nakala inahifadhiwa kila siku.